Naibu Waziri wa Biashara,
Viwanda na Masoko Mh. Thuwaiba E. Kisasi
(katikati waliokaa)akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa Ushirikiano
kati ya Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) na Taasisi ya Viwango ya Zanzibar (ZBS)
uliofanyika katika Afisi ya Taasisi ya Viwango
Amani Zanzibar, tarehe 11 Feb, 2014.
Wafanyakazi wa
Taasisi ya Viwango Zanzibar wakiwa
katika Mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya
Viwango Afrika Mashariki katika
ukumbi wa Zanzibar Beach Resort


0 Comments