Mkurugenzi bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali akimkabidhi cheti kwa mfamasia Issa Ahmada kutoka kituo cha afya cha Jambiani baada ya kumaliza mafunzo yaliyofanyika Hoteli ya Mazsons, Shangani.
Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahrani Ali akizungumza na washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamasia wakati wa kuyafunga mafunzo hayo katika Hoteli ya Mzsons, Shangani.
Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamasia na wakufunzi wao baada ya kumaliza mafunzo yao katika Hoteli ya Mazsons, Shangani.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
0 Comments