Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Boti na Mashine Bw.Shamte Hamadi Juma wa Kijiji cha Maziwa Ng'ombe Wilaya ya Micheweni kwa niaba ya kikundi cha Wavuvi Kheri Moyo Mmoja Pemba hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jana kijijini hapo,[Picha na Ikulu.]
TRA YATAKA WANACHAMA WA SACCOS KUHAMASISHA ULIPAJI KODI NA MATUMIZI SAHIHI
YA MIKOPO
-
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka
wanachama wa Saccos nchini kuwa mabalozi wa kuhamasis...
12 minutes ago

0 Comments