Jengo la Kisasa kwa ajili ya kushughulikia kesi za Udhalilishaji wa Wanawake kijinsia na Watoto, katika Mkoa wa Kaskazini Unguja hushughulikia kesi hizo zinazoripotiwa Polisi katika Kituo cha Polisi cha Mahonda na kufikishwa katika Dawati kwa uchunguzi na kufikishwa Mahakamani kwa kuchukuliwa Sheria kwa Wahalifu wa suala hilo.
Jumuiya ya Wazazi Temeke yawekwa mguu sawa
-
Na WANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya
Temeke, Hamis Slim, amewakata viongozi wa mabaraza, kamati...
7 minutes ago
0 Comments