Mgombea Urais katika Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar Ndg Ussi Ngwali Mohammed akinadi sera zake kwa Wanafunzi wa chuo hicho wakati wa kufanya kampeni ya kugombea Urais wa Chuo mcha Uandishi wa Habari Zanzibar, akiwa na Wapambe wake katika moja ya darasa la Chuo hicho.
Mgombea Urais wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar Ndg Ussi Ngwali Mohammed akisisitiza jambo wakati akiwa katika kampeni ya kuwania nafasi hiyo alipokuwa akipita madarasani kuomba kura kwa Wanachuo leo.
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari wakimsikiliza mgombea urais wakati wa kampeni yake chuoni hapo.
0 Comments