Beki wa timu ya Taifa ya Jangombe,Hassan Ishaka akimzuiya mshambuliaji wa timu ya Simba Yussuf Baraka, katika mchezo wa kirafiki wa kumuenzi Rais wa Timu ya Taifa ya Jangombe Marehemu Maulid Hamad, uliofanyika katika uwanja wa Amaan,timu ya Simba imetoka na ushindi wa mabao 3-1.
Zanzibar yazindua kampeni ya “Visit Zanzibar” jijini London
-
Na Mwandishi wetu
Dar es Salaam. Zanzibar imezindua rasmi kampeni yake ya kwanza kabisa ya
masoko ya utalii ya kimataifa ijulikanayo kama Visit Zanzibar ...
17 minutes ago
0 Comments