MKURUGENZI wa mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Tawi
la Pemba, Juma Othman Ali akiwatambulisha wajumbe wa bodi ya mamalaka hiyo kwa
wananchi wa Mwambe kwa Sanani, wakati walipotembelea kisima cha wananchi na
kukabidhi vifaa mbali mbali vya maji.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mipira ya maji pamoja na Pampu yake ya kusukumia
maji (Mchikichi) Vyote vikiwa na thamani ya shilingi laki 70000/= vimekabidhiwa
kwa wanakiojiji wa Mwambe kwa sanani na Malaka ya maji Zanzibar (ZAWA)baada ya
wananchi hao kuchimba kisima chao cha Maji wenyewe.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA)
Mustafa Garu, kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ZAWA, Mtumwa Khatib Ameir
haonekani, wakiwakabidhi mchikichi wa kusukumia maji wananchi wa Kijiji cha
Mwambe kwa Sanani, wenye Thamani ya Shilingi Laki 500000/= makabidhiano hayo
yaliyofanyika huko kijijini.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar
(ZAWA), Mtumwa Khatib Ameir akiwakabidhi mipira ya maji wananchi wa kijiji cha
Mwambe kwa sanani, yenye thamani ya shilingi laki 150,000/=.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
0 Comments