Wabunge wa Bunge la AWEPA, wanaowakilisha Afrika na Dunia wakiwa katika ziara yao kisiwani Pemba wakiwa na Mbunge anayeiwakilisha Tanzania Mhe Hamadi Rashid Mohammed, wakimsikiliza Afisa wa Idara Mipango Idara ya Mazao ya Baharii Ndg.Ali Said Hamad.wakati wabunge hao walipotembelea wakulima wa Mwani Tumbe kisiwani Pemba.
TRA KILOMBERO YATOA ELIMU YA MFUMO WA IDRAS KWA WALIPAKODI
-
Na Farida Mangube, Morogoro
Wafanyabiashara na walipakodi wa Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro,
wamepatiwa mafunzo kuhusu matumizi ya mfumo wa kielektr...
1 hour ago

0 Comments