MAFUNDI wa mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Tawi la
Pemba wakiwa katika harakati za kutengeneza chemchem ya maji gawani wete,
iliyoingia mchanga hivi karibuni, ili kuweza kurudisha huduma za maji safi na
lama kwa wananchi wa Wilaya ya Wete, iliyosimama kufuatia chemchem hiyo kuingia
mchanga.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TAEC YASISITIZA UTAMADUNI WA USALAMA KAZINI
-
Wataalamu kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) wamehitimisha
mafunzo maalum ya ulinzi na usalama dhidi ya mionzi kwa wafanyakazi wa
Maweni Lim...
25 minutes ago
0 Comments