Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Balozi Mdogo wa China Mhe. Xie Yunliang kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi mradi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Shule ya sekondari ya kiembe Samaki mjini Zanzibar leo Januari 06,2015, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo kilele chake ni tarehe 12 Januari 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akihutubia kwenye uzinduzi cha mradi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Shule ya sekondari ya kiembe Samaki mjini Zanzibar leo Januari 06,2015 ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar
Wazee na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kiembe Samaki Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akihutubia kwenye uzinduzi na mradi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Shule ya sekondari ya kiembe Samaki mjini Zanzibar leo Januari 06,2015, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo kilele chake ni tarehe 12 Januari 2014.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiagana na Waziri wa Biashara na Viwanda wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Nassor Mazrui baada ya kumalizika kwa ghafla ya uzindizi wa mradi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Shule ya sekondari ya kiembe Samaki mjini Zanzibar leo Januari 06,2015, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo kilele chake tarehe 12 Januari 2014. (Picha na OMR)

0 Comments