Mandhari ya mtaa wa muembetanga ukiwa kila siku ukibadilika kwa ujenzi wa majumba ya kisasa ya gorofa kama inavyooneka pichani katika eneo hilo.
WAANDISHI WA HABARI GEITA WAPEWA MBINU ZA KUTHIBITISHA NA KUHAKIKI TAARIFA
-
Mkurugenzi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC),
Kenneth Simbaya akizungumza wakati akifungua mafunzo maalum kuhusu
Uthibitishaji na U...
6 hours ago
1 Comments
Zanzibar bado bado kabisa hatuna town planning. Pamoja na ghorofa zote hizo hakuna parking areas, hakuna eneo la wazi (mabustani) hakuna sewerage system inayofahamika almurad tafrani, kujenga majumba mazuri na makubwa ndio tunajitahidi lakini shida yetu kubwa planning, ni zero kabisa
ReplyDelete