6/recent/ticker-posts

Profesa Makame Mbarawa azindua tangi la Maji safi na salama Wambaa


 
WAZIRI wa Sayansi na Mawasiliano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Profesa Makame Mnyaa Mbarawa katikati akipiga makofi mara baada ya kuzindua tangi la Maji safi na salama huko Wambaa, viongozi mbali mbali wa Serikali wakishuhudia, ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 WAZIRI wa Sayansi na Mawasiliano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, akilikagua tangi la maji safi na salama, mara baada ya kulizindua rasmi, kulia ni Naibu katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe:Mustafa Aboud Jumbe.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Sayansi na Mawasiliano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, akizungumza na wananchi wa Wambaa Wilaya ya Mkoani mara baada ya kuzindua tangi la maji kijijini huko.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.

Post a Comment

0 Comments