Kipindi cha pili cha mchezo wa Robio fainali kati ya Taifa ya Jangombe na Simba unaofanyika usiku huu katika uwanja wa Amaan timu ya Simba inapata bao la kwanza baada ya kuanza mpira na mshambuliaji Ibrahim Hajibu ameipatia Simba bao la kuongoza katika Mchezo huu wa robo fainali.
Mpira umemalizika na Simba wameondoka kidedea baada ya kuwafunga Taifa ya Jangombe bao 4-0
Magoli matatu ya Simba yamefungwa na Ibrahim Hajibu akitokea benchi alipoingia kipndi cha pili na bao la nne limefungwa na Shaaban Kisiga. Picha Baadae

0 Comments