Mkurugenzi Biashara wa Kampuni ya simu ya Zantel Ndg Khamis Mussa Baucha akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati wa hafla ya kuzindua Promosheni ya kwangua kadi ya Zanztel ya shilingi 1000/= na kuweka Vyocha kutumia mimina utajishindia zawadi mbalimbali Simu Muda wa Maongezi ya shilingi 10,000 na Friji kushoto Meneja Huduma kwa Wateja wa Zantel Mwanajuma Husein. uzinduzi huo umefanyika katikac ofisi za Zantel jengo la Muzammil mlandege Zanzibar.
Mkurugenzi Biashara wa Kamuni ya Zantel Ndg Mohammed Mussa Baucha, akiwaonesha waandishi wa habari moja ya zawadi zitakazotolewa kila wiki simu ya Samsung, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Ofisi ya Zantel jengo la Muzammil mlandege Zanzibar. Promoshen hiyo kwa Wateja wa Zantel wa Unguja na Pemba.
Zawadi za Promosheni ya Wateja wa Zantel zikioneshwa kwa Waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo iliofanyika katika Ofisi za Zantel Mlandege Zanzibar promoshehi hiyo itakuwa kwa muda wa miezi mitatu kwa Wateja wa Zantel wa Unguja na Pemba tu.
Waandishi wa habari wakifuatilia uzinduzi wa promosheni ya Kwangua ujishindie zawadi za Simu Muda wa Maongezi na Friji.

0 Comments