Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Ali Juma Shamuhuna, kwa Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Qatar Dr. Khalid bin Mohammed Al-Attiyah mjini Doha. Kushoto ni Waziri wa Nchi, OMKR Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej na kulia ni msaidizi wa Waziri wa Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Qatar Dr. Khalid bin Mohammed Al-Attiyah mjini Doha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Qatar Dr. Khalid bin Mohammed Al-Attiyah mjini Doha. Kushoto ni Waziri wa Nchi, OMKR Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej na kulia ni msaidizi wa Waziri wa Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na ujumbe wake, wakiongozana na Waziri wa Mambo ya nje wa Qatar Dr. Khalid bin Mohammed Al-Attiyah mjini Doha(Picha na Salmin Said OMKR)

0 Comments