6/recent/ticker-posts

Ujumbe wa Skuli ya Celsus. Watembea Skuli za Kusini Unguja

Msaidizi Mwalimu wa Skuli ya Kusini sekondari, Mwalimu Mussa Nahodha akizungumza na ujumbe wa Skuli ya Celsius kutoka Sweden kuhusu kuimarisha mashirikiano kati ya skuli hizo mbili. Mazungumzo hayo yalifanyika nyumba ya wageni Kigaeni Makunduchi. Mwaka jana skuli ya Celsius aliisaidia skuli ya Kusini kwa kuipatia darubini 8 ambazo ziliwasilishwa na ndugu Tommy wa kwanza kutoka kulia. Skuli ya Kusini ni miongoni mwa skuli za Makunduchi ambazo zinashirikiana kwa jaribu na skuli za Sweden. Mashirikiano haya yameshamiri  siku za karibuni kufuatia ziara za mara kwa mara zinazofanywa na wajumbe wa kamati za wadi za Makunduchi nchini Sweden

Post a Comment

0 Comments