6/recent/ticker-posts

Barabara ya Wete - Gando kukamilika karibuni

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya MECCO inayojenga barabara ya Wete-Gando na Wete-Konde, wakiwa katika harakati za mwisho za kumwaga lami katika eneo la Hoteli ya Wete, panapounganisha njia mbili hizo kama wanavyoonekana katika picha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.) 

Post a Comment

1 Comments

  1. Hiyo Hoteli ya Wete nayo iangaliwe baada ya kukamilika kwa babara! Inatia aibu

    ReplyDelete