WAFANYAKAZI wa Kampuni ya MECCO inayojenga barabara
ya Wete-Gando na Wete-Konde, wakiwa katika harakati za mwisho za kumwaga lami
katika eneo la Hoteli ya Wete, panapounganisha njia mbili hizo kama
wanavyoonekana katika picha.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKURUGENZI WA MAWASIALIANO YA RAIS IKULU ATETA NA MSEMAJI WA SERIKALI
-
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Ndugu Bakari Machumu akizungumza
na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia
n...
25 minutes ago
1 Comments
Hiyo Hoteli ya Wete nayo iangaliwe baada ya kukamilika kwa babara! Inatia aibu
ReplyDelete