Maeneo ambayo yamechimbwa mawe na Kifusi katika Wilaya ya Micheweni Pemba, na Kampuni zinazo tengeneza Barabara kisiwani humo na kushindwa kurejesha Udongo katika mashimo hayo na kusababisha uharibifu wa Mazingira kwa Wananchi na mifugo yao. Picha na Maryam Salim -Pemba.
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
7 hours ago
0 Comments