Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia. (Picha na Juma Mohammed, MAELEZO Beijing)
Mkurugenzi wa Mipango na Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi, Makaazi Maji ujenzi na Nishati, Salhina Mwita Ameir akieleza jambo wakati wa mafunzo ya mafuta na gesi asilia katika Chuo cha Biashara za Kimataifa Beijing China. Wanaomtazama kutoka kushoto ni Mhandisi Mwalimu Ali Mwalimu na Farhat Ali Mbarouk.(Picha na Juma Mohammed, MAELEZO China)
Airtel Tanzania Inathibitisha Dhamira yake ya Kuunganisha na Kukuza
Ujumuishaji wa Kifedha Wakati wa Iftari ya Ramadan
-
Dar es Salaam, Machi 9, 2026.
KAMPUNI ya Airtel Tanzania Jumatatu iliandaa hafla maalumu ya Iftari ya
Ramadan jijini Dar es Salaam, ikiwakutanisha viong...
10 hours ago
.jpg)
0 Comments