Muonekano wa jumba la Trein Darajani wakati wa asubuhi kabla ya kuanza kwa harakati za Wajasiriamali wanaofanya biashara zao katika eneo hilo la mbele ya jengo hilo. Hivi karibuni ilitolewa maagizo kuhama kwa wakazi wa nyumba hiyo ili kupisha matengenezo kutokana na jengo hilo kuchoka likiwa la siku nyingi.
Samsung A26 Leo Alhamisi kwa Kubashiri Rahisi Kupitia *149*10#
-
BILA Intanenti ni rahisi kabisa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha
kushindania Samsung A26 na Meridianbet leo. Alhamisi ya Zawadi ipo kwaajili
yako siku y...
1 hour ago
0 Comments