Wanafunzi wa Carman Ainsworth High School iliyopo Michigan watembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC, na kupata fursa ya kuonana na Mhe balozi Liberata Mulamula.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Mhe, balozi Leberata Mulamula.
Mhe, balozi Liberata Mulamula akitoa historia fupi ya Tanzania.
Mhe, balozi Liberata Mulamula akiwashukuru wageni wake kwa kuchagua ubalozi wa Tanzania kama sehemu mojawapo ya ziara yao hapa mjini Washington DC.
Ushindi Upo Nje Nje Siku ya Leo na Meridianbet
-
WAKALI wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa Wikendi hii ipo
kwaajaili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za
leo...
0 Comments