MKUU wa shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar,
ofisi ya Pemba, Bakari Mussa Juma akiwafahamisha wanafunzi wa fani ya IT
waliotembelea ofisi ya Gazeti la Zanzibarleo Pemba, jinsi ya kutafuta habari
mbali mbali kwa kutumia simu za kisasa za Mkononi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NINA IMANI KUBWA NA UTENDAJI KAZI WA OFISI YA MWANDISHI MKUU WA
SHERIA-MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
-
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amewataka Watumishi wa
Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria kufanya kazi kwa Weledi na Ufanisi ili
kufiki...
2 hours ago
0 Comments