Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mhe Jakaya Mrisho Kikwete Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal Makamu wa Pili Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Pandu Ameir Kificho wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana wakipitia moja ya magazeti ya kila siku wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM, Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika uchaguzi uliofanyika Jana Julai 11, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake, Balozi Amina Salun Ali akipata kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro akipata kura 59.







0 Comments