6/recent/ticker-posts

Mashindano ya kuhifadhi Qur'aan yafanyika Ole Kianga kisiwani Pemba

 MRATIB wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society Zahor Mazrui, akimueleza jambo amiri wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Kiislamu Ole Shekh Omar Khamis Kombo wakwanza kushoto, huko katika mashindano ya Tahafidhi Qur-an Ole.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 SHEIKH Soud Abdalla akisoma risala ya Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Kiislam, wakati wa mashindano ya Jumuiya hiyo huko Ole Kianga kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 SHEIKH Salim Ameir akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa Tahfidh Qur-an, huko katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Ole Kianga kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MRATIBU wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society Zahor Mazrui, akizungumza na wananfunzi na walimu wa Jumuiya ya Tahafidh Qur-an na Maendeleo ya Kiislam jimbo la Ole, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an yaliyoandaliwa na jumuiya hiyo Ole kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MRATIB wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society Zahor Mazrui, akizungumza na wanafunzi na walimu wa Jumuiya ya Tahafidh Qur-an na Maendeleo ya Kiislam jimbo la Ole, akiwaonyesha msahafu wanafunzi waliohifadhi Qur-an, kwa kuwasisitiza kukisoma kitabu hicho Kitukufu wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an yaliyoandaliwa na jumuiya hiyo Ole kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MRATIB wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society Zahor Mazrui, akimkabidhi bahasha yenye fedha taslim mwanafunzi Ahmed Maulid Salumu kutoka Konde, aliyeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya Tahfidh Qur-an kwa upande wa Juzuu moja.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


 MRATIB wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society Zahor Mazrui, akimkabidhi bahasha yenye fedha taslim mwanafunzi Ali Hamad Mbarouk kutoka Ole, aliyeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya Tahfidh Qur-an kwa upande wa Juzuu mbili.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MRATIBU wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society Zahor Mazrui, akimkabidhi misahafu Amiri wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole, Omar Khamis Kombo mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Tahfidh Qur-an yaliyoandaliwa na Jumuiya hiyo Ole Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MRATIBU wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society Zahor Mazrui, akimkabidhi Tende amiri wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole, Omar Khamis Kombo mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Tahfidh Qur-an yaliyoandaliwa na Jumuiya hiyo Ole Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.) 

Post a Comment

0 Comments