LICHA ya Serikali kutafuta wafadhili kwa ajili ya
miradi mbali mbali ya maji kwa wananchi, lakini bado mamlaka husika
zinazosimamia masuala ya maji, zinashindwa kuwa makini kutembelea viungio vya
maji laini kubwa, pichani maji yakimwagika katika kiungo cha maji, laini kubwa
huko mjengo wa Banda Wawi chake Chake.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
RAIS DKT. MWINYI AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2026, ASISITIZA AMANI,
UZALENDO NA UWAJIBIKAJI
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kulinda, kuimarisha na kudumisha Muungano
wa Ta...
16 minutes ago

0 Comments