Afisa leseni wa KOSOZA, Muumini Mwinyi Mzee akichoma moto CD zisizokuwa na usajili kupitia taasisi hiyo katika bonde la kikungwi wilaya ya kati Unguja.
Mlinzi kutoka taasisi ya Kosoza Mussa Mwinyi Mussa akichochea moto huo kuhakikisha CD hizo zenye thamani ya milioni nne zinateketea.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments