Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR)
MUUNGANO WAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO
-
Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na (Mazingira) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
kuwasil...
9 hours ago
0 Comments