Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasili katika viwanja vya Vuga Zanzibar kwa ajili ya kuendelea na Kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar.
Wanachama wa Chama cha TADEA Zanzibar wakimshangilia Mgombea wao wakati akiwasili katika viwanja vya Vuga kwa ajili ya kuaza Kampeni yake katika Jimbo la Malindi Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akiwa na viongozi wa Chama hicho wakati wa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya vuga Zanzibar.
Mgombea wa Urais wa TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwa na mgombea wa Ubunge Jimbo la Malindi Zanzibar Rashid Said Suleiman.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib, akiwahutubia Wananchi wa Mji Mkongwe wakati wa mkutano wake wa Kampeni ya kuomba ridhaa za Wananchi kumchugua kuiongoza Zanzibar.
0 Comments