Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM Taifa, Ramadhan Abdalla Shaaban (kulia) akimtambulisha kwa wananchi wa wadi ya Bungi mgombea uwakilishi jimbo jipya la Tunguu Zanzibar, kupitia CCM Simai Mohamed Said jana.
Picha na Martin Kabemba.
Mgombea uwakilishi jimbo jipya la Tunguu Zanzibar, Simai Mohamed Said akizungumza kwenye mutano wa ampeni uliofanyika wadi ya Bungi Tunguu jana.
Picha na Martin Kabemba.
Mgombea uwakilishi kupitia CCM jimbo jipya la Tunguu Zanzibar, Simai Mohamed Said akishangiliwa na wananchi wa wadi ya Bungi muda mfupi baada ya kutambulishwa na mgeni rasmi Mjumbe wa almashauri kuu ya CCM Taifa Ramadhan Abdalla Shaaban jana.
Picha na Martin Kabemba.
Picha na Martin Kabemba.
0 Comments