Wananchi wa eneo la mtoni barabara ya bububu wakiangalia gari yenye namba za usaji Z 284 BD ,iliokuwa
ikitokea mjini kuelekea bububu kupata
ajali wakati ikijaribu kuzipita gari
wakati ikiwa katika mwendo na kusababisha ajali ya kuigonga gari yenye
namba za Usajili Z 626BV, ikitokea Bububu kuelekea mjini, katika ajali hiyo
hakuna mtu aliyejeruhiwa
KAMATI YA BUNGE YAIAHIDI KAMPUNI YA ALAF USHIRIKIANO
-
-Kamati ya Bunge yaiahidi ALAF ushirikiano
Na Mwandishi Wetu
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imefanya
ziara katika k...
1 hour ago
0 Comments