Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Dkt. Jakaya Kikwete. Mazungumzo hayo yaliyochukua muda wa dakika 50 yalifanyika Ikulu ya Rais Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4:24 asubuhi na kumaliza saa 5:14. (Picha na Salmin Said, OMKR)
BALILE WA TEF:MIRADI REA INAONESHA JINSI ASILIMIA TATU TUNAYOKATWA
TUNAPONUNUA UMEME INAVYOTUMIKA VIZURI
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MWENYEKITI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile amesema miradi
ya nishati ya umeme vijijini inayotekelezwa na Waka...
11 minutes ago
0 Comments