LICHA ya Serikali kupiga marufuku utumiaji wa
misumeno ya moto (Chensoo)na kuweka mikakati madhubuti juu ya kuiteketeza
misumeno hiyo, lakini bado baadhi ya wananchi wamekuwa wakiitumia vibaya kwa
kuteketeza miti kiholela, pichani wananchi wakipasua mbao za mnazi baada ya
kuukata mti hio huko Gando Wilaya ya Wete.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KIHONGOSI AFANYA KIKAO KAZI NA VIONGOZI,WASANII BENDI YA TOT
-
Na Mwandishi Wetu
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC)ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi
na Mafunzo Kenan Kihongosi amefanya kikao kazi na viongozi m...
14 hours ago
0 Comments