BAADA ya hali ya kisiasa kutulia kisiwani Pemba,
wavuvi wameanza kwenda baharini nao wachuuzi wa samaki wamekuwa wakifika
katika masoko mbali mbali kwa ajili ya kununua samaki, huku mvua kubwa
ikiendelea kunyesha, Pichani wachuuzi wakiwa katika mnada wa samaki katika
bandari ya Msuka Wilaya ya Micheweni.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TMA Yabainisha Njia Rasmi za Kupata Taarifa za Hali ya Hewa
-
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imebainisha njia rasmi zinazotumika
katika usambazaji wa taarifa za hali ya hewa nchin...
1 hour ago

0 Comments