Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukuwa maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabiti Kombo akinawa mikono, maji aliyotiwa dawa mara baada ya kuwatembelea wagonjwa hao ili kujikinga na maradhi hayo.
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akipata maelezo kwa Dokt. Dhamana Fadhili Ramadhan wakati alipotembelea wagonjwa wa maradhi ya kuharisha (kipindupindu) katika kituo cha Afya kiliopo Sheha ya Karakana
Naibu Waziri wa Afya akiwapa maelezo baadhi ya waandishi wa Habari juu ya kujikinga na maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu) mara baada ya kutembelea kituo hicho. (PICHA NA MIZA OTHMAN MAELEZO ZANZIBAR)
1 Comments
ndio hospital hiyo?, vitanda vya kamba?, ndo maradhi yatakwisha hivyo? halafu dado munataka lazima nchi muongoze nyinyi tu.
ReplyDelete