MENEJA wa Benki ya watu wa Zanzibar Tawi la Pemba,
Haji Machano mwenye tai, akishuhudia zoezi la uteremshaji wa nondo katika skuli
ya sekondari Kengeja, ikiwa ni msaada uliotolewa na Benk hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MENEJA wa Benki ya watu wa Zanzibar Tawi la Pemba,
Haji Machano, wa kwanza kushoto akimkabidhi nondo 135 zenye thamani ya zaidi ya
Milioni 2,994,000/= mwalimu Mkuu wa skuli ya Kengeja Sekondari Mohammed Ahmed, kwa
ajili ya kumwaga zege kwa hatua ya awali ya ujenzi wa jengo la ghorofa la skuli
hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANAFUNZI wa skuli ya sekondari kengeja wakizitia
ndani ya jingo nondo walizopatiwa msaada na Benki ya watu wa Zanzibar Tawi la
Pemba, kwa ajili ya ujenzi wa skuli yao ya ghorofa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
ENEO ambalo linatarajiwa kujengwa jengo la ghorofa la
vyumba saba vya skuli ya kengeja sekondari, ambalo kamati ya ujenzi wa skuli
hiyo imekuwa ikihangaika kuipatia misaada likiwa wazi kama linavyoonekana katika
Picha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)




0 Comments