Wanafunzi wa Kidatu cha Nne wa Skuli ya Sekondari ya Hailisalasi wakiwa nje ya
chumba mitihani baada ya kumaliza kufanya mtihani wao asubuhi wa historia
wakitafakari na kukumbushana hali ya mtahani huo wakisubiri kurudi madarasani
kuendelea na mitihani yao Taifa ya Kidatu cha Nne
WIZARA YA ARDHI YAINGILIA KATI SAKATA LA ENEO LENYE MGOGORO GEITA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa
matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibw...
2 hours ago
0 Comments