Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi (katikati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wake kujipatia lita 40 za mafuta kwa kila mshindi wa droo hiyo kila wiki. Kulia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Bakari Maggid, na kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya mafuta ya GAPCO Tanzania, Michael Chobu.
WAZIRI MCHENGERWA KUSHIRIKI MKUTANO WA DUNIA KUHUSU TIBA ASILI, KUFANYA
MAZUNGUMZO NA MAWAZIRI WA AFYA
-
Na John Mapepele, New Delhi
Waziri wa Afya wa Tanzania, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amewasili New
Delhi, nchini India, tayari leo kushiriki Mkutano wa p...
19 minutes ago


0 Comments