6/recent/ticker-posts

Ligi ya Zanzibar Polisi na Kimbuga Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu yac Kimbuga Imeshinda 2--1

 Mchezaji wa timu ya Polisi mwenye mpira akimpita beki wa timu ya Kimbuga mwenye jezi ya njano wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kimbunga imeshinda 2---1.
 Kipa wa timu ya Kimbuga akiruka juu kuokoa mpira na huku beki wake akiwa tayari kumsaidia 
 Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akijiandaa kuzuia mpira huku beki wa timu ya Kimbuga akiwa tayari kuokoa mpira huo. wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kimbunga imeshinda 2--1  
 Kipa wa timu ya Kimbunga akigaagara chini bila ya mafanikio akiwa katika jitihada za kuokoa mpira na kuandika bao la kwanza kwa timu ya Polisi.



 Wachezaji wa timu ya Kimbunga wakishangilia bao lao la pili na la ushidhi dhidi ya timu ya Polisi 

 Benchi la timu ya Polisi wakiwa na simazi baada ya kulala kwa mabao 2--1 dhidi ya timu ya Kimbunga.


 Kocha Mkuu wa Timu ya Kimbunga akiwa uwanja akitowa maelekezo kwa wachezaji wake.


Kikosi cha Timu ya Kimbunga kilichoilaza timu ya Polisi katika mchezo wav Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Kimbunga imeshinda 2--1.

Post a Comment

0 Comments