Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es Salaam jana.
Ridhiwani pia alipata wasaa wa kujadiliana mambo mbalimbali na kiongozi huyo wa watumishi wa serikali. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Je Simba Msimu Huu Ataondoka Kapa Tena?
-
LEO hii Meridianbet tunaangazia klabu ya Simba ambayo imekuwa na mabadiliko
yanayotokea hap na pale huku nafasi ya wao kushinda taji la NBC Premier
Leagu...
17 hours ago
0 Comments