Meneja
Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Grace Majige akizungumza
na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa wadau wa Yanga kutumia kadi za ATM za
Yanga. Mkutano huo na wanahabari ulifanyika kwenye ofisi za benki hiyo tawi la
Kariakoo jijini Dar es Salaam, Januari 19, 2016. Wengine pichani kushoto ni Mkuu wa Masoko wa benki hiyo, Omary Kaya, na
Je Simba Msimu Huu Ataondoka Kapa Tena?
-
LEO hii Meridianbet tunaangazia klabu ya Simba ambayo imekuwa na mabadiliko
yanayotokea hap na pale huku nafasi ya wao kushinda taji la NBC Premier
Leagu...
19 hours ago
0 Comments