WATUMISHI WIZARA YA ARDHI WAJENGEWA UELEWA KUHUSU LISHE NA AFYA MAHALA PA
KAZI
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Makao Makuu
wamepatiwa mafunzo maalum ya lishe pamoja na mwongozo w...
13 minutes ago
1 Comments
Haah! jamani, kweli Z'bar yetu "imechoka" sijui ni kwasababu za siasa au ni mitazamo ya watu...sijui!
ReplyDeleteHivi kweli msanii kama Bi Fauzia Abdallah anafariki, tunashindwa kupata hata wasfu wake? au picha?
Tunaishia kukopi taarifa kutoka kwa watu wengine? lakini cha kushangaza gazeti letu pekee tunalolitegemea na ambalo inatakiwa lihudumie watu takriban 1200,000 utalikuta kimesheheni taarifa za Bara ambako kuna magazeti na wandishi wengi mahiri huku ya kwetu tunayaacha!