WAANDISHI wa habari Mariya Shaaban Mtwana wa ZBC-TV na Suleiman Rashid Omar
mwakilishi wa ITV/Redio One Pemba, wakiendelea kuchukua picha kwa ajili ya
kuwahabarisha wananchi kupitia vyombo vyao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
Ng...
25 minutes ago
0 Comments