HATA watoto wa kike wa kisiwa cha Kojani wilaya ya Wete Pemba, hutajwa
kuanza kuyazoea mazingira wanayoishi mapema, kwa kuanza kujifundisha kupiga
makasia na pondo, kwenye mitumbwi kama walivyokutwa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
Ng...
1 hour ago
0 Comments