Wananchi wakiwa katika marikiti kuu ya darajani wakiangalia samaki aina ya Chewa aliyevuliwa
katika bahari ya Nungwi Zanzibar akiwa katika marikiti hiyo baada ya kuuzwa kwa shilingi laki sita katika mnada huo anakaribiwa kuwa na uzito wa kilo 85. Akichunwa ngozi kwa ali ya kuuzwa kwa wananchi.
Wamachinga Dar wakemea uvunjifu wa amani
-
wadai suluhu ya changamoto haitatuliwi kwa uvunjifu wa amani.
Na Mwandishi Wetu
Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Watanzania...
4 hours ago
0 Comments