WAZIRI wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana,
Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe:Maudline Cyrus Castico, akiangalia mabilingani
yaliyolimwa na wanakikundi cha Vijana wa Utandawazi Chokocho, wakati alipofanya
ziara ya kutembelea kikundi hicho kwenye ziara yake ya Siku mbili Kisiwani
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
2 hours ago
0 Comments