Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake
na Watoto Zanzibar, Mhe:Maudline Cyrus Castico, akiangalia tatani ya Uwanja wa
michezo gombani Kisiwani Pemba, baada ya kukamilika kwake, wakati alipokuwa
katika ziara yake ya siku mbili Kisiwani Pemba, wa kwanza kulia ni meneja wa
uwanja huo Issa Juma Issa.(Picha Na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
TASAC YATAKA WANANCHI KUTUMIA VYOMBO VILIVYOIDHINISHWA KUBEBA ABIRIA
-
Na Mwandishi wetu
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataarifu wananchi
wanaotumia usafiri kwa njia ya maji kutumia vyombo vya usafiri majin...
10 minutes ago
0 Comments