Wageni mbalimbali wanaotembelea Zanzibar hufika katika Marikiti Kuu ya Darajaji kujionea moja ya majengo ya historia katika Zanzibar kutokana na ujenzi wake wa wakati huo wa enzi za mababu hadi leo jengo hilo huvutia watu wengi wanaofika Zenj.
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
3 hours ago
0 Comments