Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akiwa na Viongozi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Afrika Wanaosoma Kiswahili wakisimama wakati ukipigwa Wimbo wa Mataifa ya Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
18 hours ago
0 Comments