Mshambhuliaji wa Tmu ya Yanga akijiandaa kumpita beki wa Timu ya KVZ, katika mchezo wao wa Kombe la NMB Mapinduzi CUP 2026, mchezo uliyofanyia Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Katika mchezo huo Timu ya Yanga imeshinda bao 3-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga Pacome akishangilia bao lake la kwanza katika mchezo wa Kombe la NMB Mapinduzi Cup, Dhidi ya Timu ya KVZ katika mchezo huo Yanga imeshinda bao 3-0.





0 Comments